Description: Athiani FM ni radio ya Kamba ilililopo Kenya, ikitangaza habari, burudani na muziki wa kienyeji. Inalenga kukuza utamaduni na lugha ya Akamba kupitia vipindi vyake mbalimbali. Wanapatikana pia kupitia mtandao: https://www.athianifm.co.ke/